Kiwanja kinauzwa Kibada

Kiwanja kinauzwa Kibada

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Nauza Plot ya ukubwa wa mita 40 kwa 30 Kibada kwa Milioni 3.5. Haina hati, mwenye kuhitaji ani PM tafadhali
 
Huko cndio manspaa wanapima viwanja na kuviuza na vingine wakiwafidia wale wanaohamishwa km kurasini .
 
Huko cndio manspaa wanapima viwanja na kuviuza na vingine wakiwafidia wale wanaohamishwa km kurasini .
Hapana sio kweli! Hilo ni eneo tofauti! Isitoshe kuna majengo mengi mapya ya watu, haiwezekani kufanyika process kama hiyo kwa sababu tayari ni makazi ya watu yaliyopimwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom