Mkuu kungekuwa hakueleweki serikali kupitia halmashauri ya Temeke wakishirikiana na kampuni binafsi wasingekuwa wanapima na kuuza viwanja.Hawa jamaa wanataka kupapandisha thamani ili wauze maeneo yao,wao wanashikilia maeneo makubwa huko hawana wasiwasi.