tatizo huko wala hapaeleweki, ukinunua alafu ile kwako na hii serikali yenyewe ya mazinguzi
Ukizungumzia Kibada, na hasa pale full shangwe nakuamini Kamanda wangu. Maana najua ndio mitaa yako ya kujidai pale.Sqm 600 full shangwe wanauza 12m bei ya kuanzia ukiwa na 10m mkononi unachukua,kwa sqm hizo chukua 8m.