Kiwanja kinauzwa Kibada Kigamboni

Kiwanja kinauzwa Kibada Kigamboni

Pindima

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
347
Reaction score
82
Kiwanja kinauzwa kipo kibada kigamboni, kiwanja kimepimwa na hakipo kwenye mpango mji mpya wa kigamboni, kipo block 16 kibada, kikubwa!! Bei ni nzuri milioni 30, bei inapungua!! Ukiwa wahitaji niPM kwa mawasiliano zaidi!!
 
Ni cha kupima ukubwa square metre 601
 
Sqmt 600 ndio unasema kikubwa!? Labda kwako binafsi ndio kikubwa na ndo maana ukakinunua toka Wizarani. Je wanaouza Sqmt amzia 1200 wao watatamkaje!? HUenda hawa watasema wanauza kiwanja "kipana Sana"

Ngoja tusubirie wadau nao tusikie wanasemaje.
 
sqm 600 ni kiganja kinatosha kujenga chumba na sebule na parking moja ya vitz basi......kwa bei hio @ lst 2000sqm.(50 kwa 40)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom