Diplomatic Imunnity JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,179 Reaction score 320 Jan 31, 2015 #21 Ndio afafanue mm nakiitaji biashara lazima iwe inaeleweka na ukiulizwa swali jibu swali ili wateja waelewe
Ndio afafanue mm nakiitaji biashara lazima iwe inaeleweka na ukiulizwa swali jibu swali ili wateja waelewe
J John Gelas Senior Member Joined Apr 25, 2012 Posts 168 Reaction score 7 Jan 31, 2015 Thread starter #22 Diplomatic Imunnity said: Beach ipi ww kijana kule kwa husen mwinyi au mana kule hakuna kiwanja cha milioni kumi labda uwe unauza lile eneo la daraja la malechela Click to expand... Kwan wee n muhitaj au??wee njoo ujionee mwenyew mkuu
Diplomatic Imunnity said: Beach ipi ww kijana kule kwa husen mwinyi au mana kule hakuna kiwanja cha milioni kumi labda uwe unauza lile eneo la daraja la malechela Click to expand... Kwan wee n muhitaj au??wee njoo ujionee mwenyew mkuu
Diplomatic Imunnity JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,179 Reaction score 320 Jan 31, 2015 #23 Mm nipo kawe muda huu hapa makao makuu ya jkt mlalakuwa sema ww kiwanja kipo maeneo ya wapi tukutanie
Mm nipo kawe muda huu hapa makao makuu ya jkt mlalakuwa sema ww kiwanja kipo maeneo ya wapi tukutanie
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,325 Jan 31, 2015 #24 Kawe beach kuna viwanja vya 10mils? Eneo lile karibu na mwinyi ni eneo la Tanganyika packers.
Diplomatic Imunnity JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,179 Reaction score 320 Jan 31, 2015 #25 Amalinze said: Kawe beach kuna viwanja vya 10mils? Eneo lile karibu na mwinyi ni eneo la Tanganyika packers. Click to expand... Ndio namshangaa huyu kijana anataka kuja kufanya utapeli wake humu jf
Amalinze said: Kawe beach kuna viwanja vya 10mils? Eneo lile karibu na mwinyi ni eneo la Tanganyika packers. Click to expand... Ndio namshangaa huyu kijana anataka kuja kufanya utapeli wake humu jf
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,325 Jan 31, 2015 #26 Diplomatic Imunnity said: Ndio namshangaa huyu kijana anataka kuja kufanya utapeli wake humu jf Click to expand... Wenzake utapeli huo wanaufanyia kwembe au mivumoni yeye anakuja kuuza viwanja vya tanganyika packers.
Diplomatic Imunnity said: Ndio namshangaa huyu kijana anataka kuja kufanya utapeli wake humu jf Click to expand... Wenzake utapeli huo wanaufanyia kwembe au mivumoni yeye anakuja kuuza viwanja vya tanganyika packers.