MkamaShapu JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 317 Reaction score 170 Aug 3, 2018 #1 Kuna kiwanja maeneo ya kariakoo Mtaa Magila nyumba namba 13.....karibu na mtaa msimbazi..... Bei 1.2b maongezi yapo..... Karibuni sana.... Piga namba Hii kwa maelezo zaidi..... 0717767875.....
Kuna kiwanja maeneo ya kariakoo Mtaa Magila nyumba namba 13.....karibu na mtaa msimbazi..... Bei 1.2b maongezi yapo..... Karibuni sana.... Piga namba Hii kwa maelezo zaidi..... 0717767875.....
kijana wa leo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2011 Posts 3,072 Reaction score 7,513 Aug 3, 2018 #2 Mkuu kiwanja cha bei hiyo afu Tangazo linakua rough namna hii, yani mtu atoe 1.2Bil kwa tangazo lisiloelewek kama hili.?
Mkuu kiwanja cha bei hiyo afu Tangazo linakua rough namna hii, yani mtu atoe 1.2Bil kwa tangazo lisiloelewek kama hili.?
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,039 Aug 3, 2018 #3 Kwani ananunua Tangazo au Kiwanja?
MkamaShapu JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 317 Reaction score 170 Aug 3, 2018 Thread starter #4 kijana wa leo said: Mkuu kiwanja cha bei hiyo afu Tangazo linakua rough namna hii, yani mtu atoe 1.2Bil kwa tangazo lisiloelewek kama hili.? Click to expand... Mkuu Mbona maelezo yanaeleweka kabisa!!.... Kama una mengi ya kuhoji piga hiyo namba hapo juu....
kijana wa leo said: Mkuu kiwanja cha bei hiyo afu Tangazo linakua rough namna hii, yani mtu atoe 1.2Bil kwa tangazo lisiloelewek kama hili.? Click to expand... Mkuu Mbona maelezo yanaeleweka kabisa!!.... Kama una mengi ya kuhoji piga hiyo namba hapo juu....
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,806 Reaction score 94,898 Aug 3, 2018 #5 Bei za Kikwete bado zinatrend?
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,867 Reaction score 5,069 Aug 3, 2018 #6 Unge convert hiyo bei iwe ya awamu hii.
Cowman JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 1,719 Reaction score 3,187 Aug 3, 2018 #7 TZS 1.2b bei ya kiwanja. Kweli GAP zipo
MkamaShapu JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 317 Reaction score 170 Aug 3, 2018 Thread starter #8 King Kong III said: Bei za Kikwete bado zinatrend? Click to expand... FYATU said: Unge convert hiyo bei iwe ya awamu hii. Click to expand... Cowman said: TZS 1.2b bei ya kiwanja. Kweli GAP zipo Click to expand... Maongezi yapo wakuuu.....!!!
King Kong III said: Bei za Kikwete bado zinatrend? Click to expand... FYATU said: Unge convert hiyo bei iwe ya awamu hii. Click to expand... Cowman said: TZS 1.2b bei ya kiwanja. Kweli GAP zipo Click to expand... Maongezi yapo wakuuu.....!!!