Lovinho Member Joined Jul 1, 2018 Posts 7 Reaction score 18 Mar 24, 2020 #1 Wakuu Kuna kiwanja kinauzwa maeneo ya Ituha Mbeya mjini, kiwanja kina ukubwa wa 14.8m to 13.4m, kipo karibu na soko na huduma zote muhimu zinapatikana karibu kabisa. Bei ya kiwanja ni 3M ila maelewano yapo. Contact: 0689 882280 Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Kuna kiwanja kinauzwa maeneo ya Ituha Mbeya mjini, kiwanja kina ukubwa wa 14.8m to 13.4m, kipo karibu na soko na huduma zote muhimu zinapatikana karibu kabisa. Bei ya kiwanja ni 3M ila maelewano yapo. Contact: 0689 882280 Sent using Jamii Forums mobile app
Mr HEISENBERG Senior Member Joined Sep 6, 2017 Posts 149 Reaction score 133 Mar 26, 2020 #2 Bei hua mnajitajia tu....kwa bei hiyo ina maaana ni 16000/square meter. Sent using Jamii Forums mobile app
Bei hua mnajitajia tu....kwa bei hiyo ina maaana ni 16000/square meter. Sent using Jamii Forums mobile app