Kiwanja kinauzwa Goba

Kiwanja kinauzwa Goba

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
3,203
Reaction score
2,227
Kipo Goba njia 4 kama unaelejea madale, 3 km kutoka pale round about.
Ukubwa mita 25 kwa mita 25

Bei 12.5m

Maongezi zaidi 0756060183
IMG_20190712_171847.jpeg
IMG_20190712_171741.jpeg
 
Goba ina miundombinu ipi?
Kuna uwezekano huijui Goba

Nakaa Goba Mkuu mwaka wa 4 huu.

Goba ni karibu na mjini kwa maana kuna barabara tayari na umeme upo pia kidogo kumejengeka.

Hivyo ni vitu muhimu kwa viwango vya kitanzania tanzania
 
Nakaa Goba Mkuu mwaka wa 4 huu.

Goba ni karibu na mjini kwa maana kuna barabara tayari na umeme upo pia kidogo kumejengeka.

Hivyo ni vitu muhimu kwa viwango vya kitanzania tanzania
Hatari sana hii... Ime nibidi nicheke sanaaa...
 
Sasa utafananisha Goba na Chanika
Labda ueleweshe uma kuwa una zungumza kuhusu goba ipi... Kama sio goba ya barabarani... Na sio ile ya porini Kule... Hata usipo fika seheme satellite map ina weza kukusaidia kujua mazingira ya awali ya eneo husika...
 
Unamaanisha Umma au? Porini wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom