Kiwanja kinauzwa Goba

Kiwanja kinauzwa Goba

Guest321

Member
Joined
May 16, 2011
Posts
20
Reaction score
15
Kiwanja inauzwa, kipo Goba Tegeta A.
Kiwanja hakijapimwa. Tayari kuna makazi ya watu.
Kipo mita kama 600 kutoka barabara ya lami ya Goba - Mbezi.
Ukubwa wa kiwanja: 20m x 22m
Bei: Milioni 15
Mawasiliano: 0784 670 262
 
subiri kidogo kuna maswali yanakuja
 
Kiwanja inauzwa, kipo Goba Tegeta A.
Kiwanja hakijapimwa. Tayari kuna makazi ya watu.
Kipo mita kama 600 kutoka barabara ya lami ya Goba - Mbezi.
Ukubwa wa kiwanja: 20m x 22m
Bei: Milioni 15
Mawasiliano: 0784 670 262
Biashara Jf haziaminiki inawezekana wazee wa Nissan ndo mana kimya..
 
Kiwanja inauzwa, kipo Goba Tegeta A.
Kiwanja hakijapimwa. Tayari kuna makazi ya watu.
Kipo mita kama 600 kutoka barabara ya lami ya Goba - Mbezi.
Ukubwa wa kiwanja: 20m x 22m
Bei: Milioni 15
Mawasiliano: 0784 670 262
Hiyo hela kwa kiwanja hicho utasubiri sana mkuu!
 
Kama unachukua milion 8, nicheki PM nije kulipa hata kesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom