Kiwanja kinauzwa goba stand bei 25m

Kiwanja kinauzwa goba stand bei 25m

Joined
Nov 14, 2016
Posts
38
Reaction score
19
Kiwanja kiko goba
Njiapanda ya makongo juu kutoka kwenye lami n dakika 10 kwa mguu
Kimepimwa ila hati hakina
Ukubwa ni 40/20
Bei 25m
Piga 0765114158
 
Kua serious,
Kipimo vya umbali ni kilometa, meta, etc.
Hizo dakika ulizoweka hazitoi picha halisi maana zinategemea na mwendoka kasi ambao hauko Constant
 
Acha siasa mkuu hapa hela mteja anaelewa na maanisha nin acha kunijazia comnts zisizo kuwa na tija jarib kutumia mbs zako vizuri
 
Kukujazia comments kwani we JF yako hii?
MBS zangu hazikuhusu,
We utakua umeishia vidudu hujui hata Dakika ni Kipimo cha muda sio umbali
 
Hahh no pale stand ile njia ya kwenda makongo juu mwanzo tu kwa aanae hitaji namba hio 0765114158
 
Kukujazia comments kwani we JF yako hii?
MBS zangu hazikuhusu,
We utakua umeishia vidudu hujui hata Dakika ni Kipimo cha muda sio umbali
Wewe ndo wale kula kulala kwa mama hijui maisha nin sio kosa lako ukikua utaacha tu utoto subiri life likufunze use well ur resouses zako mana hujui kuzitumia kubishana n mtu usie mjua n sawa na kubishana naa jini take that and mind ur tme sijakituma usome wala ukomnt s
 
Kula kulala ni wewe dalali hujui hata unatangaza kitu gani,
Mkiambiwa Elimu, elimu, elimu mnaona mnaonewa.
Unadishi wako unaonyesha bado U mtoto, unaishi kwa wazazi.
Resources zangu ni zangu, sipangiwi na mtoto wa mama kama wewe jinsi ya kuzitumia
 
Kiwanja kinauzwa mbez msumi 20*23 meters milioni 5
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom