Kiwanja kinauzwa Dodoma.

Kiwanja kinauzwa Dodoma.

gwami g

Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
19
Reaction score
1
Nauza kiwanja Dodoma mjini,kipo eneo la Ipagala North karibu na Shule ya Makole Sekondari. wasiliana nami 0714664361
 
Umbali gani kutoka barabara ya Swaswa?Kina ukubwa meter ngapi kwa ngapi?weka na bei kabisa ili kama inashawishi tuanze kukupigia!
 
Acha ubabaishaji unaweka namba za nini kama hata bei yenyewe hujaweka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom