Ukubwa ndio unatofautisha shamba na kiwanja Ndugu.sasa kama hakijapimwa unaitaje kiwanja, si ni shamba? wewe tapeli au muongo?
Nashukuru ndugu kwa kunielimisha. Lakini sijajua hoja ya utapeli imeingiaje hapo. Siyo kila anayeuza anakuwa tapeli. Lugha nzuri inakufanya uonekane msomi zaidi.HILO NI SHAMBA, hakuna cha kiwanja hapo, acha kutapeli watu kwa kujificha kwenye kigezo kuwa huna ufahamu. Kiwanja lazima kina namba na kama unanamba lazima kimepimwa. chochote ambacho hakijapimwa hata kama 5x6 ni shamba
Nashukuru kwa ufafanuzi. Nitaweka maelezo vizuriuliposema kiwanja ndio utapeli, ama kwa kutojua au kwa kujua. ungesema unaeneo unauza ukisema kiwanja uwe unajua unachosema maana unaweza muuzia mtu akijua ni kiwanja kumbe shama, sasa kunununa bila kujua vizuri ndio kutapeliwa na hence tapeli anakuwepo
Wewe jamaa unajua customer care ile mbaya, umekuwa na majibu yanayoonyesha umeficha emotions zako kabisa. Aliyekuita tapeli ameonekana hana maana kabisa. Thumb up