Kiwanja kinauzwa Dodoma

Kiwanja kinauzwa Dodoma

Jallen

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
517
Reaction score
196
Kiwanja kinauzwa kipo Jijini Dodoma -Swaswa, Mtaa wa Kidongo Chekundu.
Ukubwa wake ni 25 × 30
Bei 7M.
Maongezi yapo
Hakijapimwa.
Mawasiliano. 0716 979912

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kama hakijapimwa unaitaje kiwanja, si ni shamba? wewe tapeli au muongo?
 
HILO NI SHAMBA, hakuna cha kiwanja hapo, acha kutapeli watu kwa kujificha kwenye kigezo kuwa huna ufahamu. Kiwanja lazima kina namba na kama unanamba lazima kimepimwa. chochote ambacho hakijapimwa hata kama 5x6 ni shamba
 
Nashukuru ndugu kwa kunielimisha. Lakini sijajua hoja ya utapeli imeingiaje hapo. Siyo kila anayeuza anakuwa tapeli. Lugha nzuri inakufanya uonekane msomi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uliposema kiwanja ndio utapeli, ama kwa kutojua au kwa kujua. ungesema unaeneo unauza ukisema kiwanja uwe unajua unachosema maana unaweza muuzia mtu akijua ni kiwanja kumbe shama, sasa kunununa bila kujua vizuri ndio kutapeliwa na hence tapeli anakuwepo
 
Nashukuru kwa ufafanuzi. Nitaweka maelezo vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom