wawekee na kapicha wanunuzi ili kuwatamanisha mkuu.... usije ukauza hewa au ukauza hamna...
wanaweza jua ni uswazi au kuna miundo mbinu au niaje... kama una satellite navigator pia una weza screen shot position ya ulipo au kiwanja kilipo... ili mtu akizoom mwenyewe akiwa nyumbani na kuona features zilizopo...
Ni ushauri tu ndg.