kutoka hapo mpaka mjini sichini ya KM9 na mjini mpaka mjin wa serikali sichini ya KM10... ni kama Km19 au 20 na zaidi....Kutoka hapo kiwanjani hadi Mji Mpya wa Serikali .Ihumwa ni umbali gani!
Ahsante ,nitalengesha jamaa yangu!kutoka hapo mpaka mjini sichini ya KM9 na mjini mpaka mjin wa serikali sichini ya KM10... ni kama Km19 au 20 na zaidi....
Weka namba ya simu hadharani uwapate wasio member hapa.Habari za wakati wakuu,
Kiwanja kinauzwa eneo la Mpamaa kata ya Miyuji-Manispaa ya jiji la Dodoma.
Kina ukubwa wa 60Mt kwa 35Mt(Kimepimwa) lakini pia kipo eneo lenye huduma zote za kijamii kama St Gemma Hos. St. Gaspal pre&primary school,Chuo cha Mipango n.k,
Lakini pia kipo jirani kabisa mwa uwanja mpya wa ndege wa Msalato.
Bei elekezi ya awali ni 8.5M ila mazungumzo yapo.
NB:Hakuna dalali wala mtu kati.
KaribuniView attachment 953286View attachment 953288View attachment 953289
Akili itakapokaa sawa ukajua milioni 3 cash inathamani kuliko hilo pori uje PMHiyo ni pesa lakini si thamani halisi ya kiwanja......mpamaa ni masaki au msasani ya baadae kwa mujibu wa michoro ya jiji la Dodoma
hata kama kupita nyuma ya waziri mkuu rough road uzunguke ihumwa kambi ya keshi ndipo uende government city ni zaidi ya km10 sio chini ya km10... yaweza kuwa km 12 hadi 16 kama utachagua kupita 88... na hakuna option maan ukienda juu ni uwanjani baada ya hapo una tafuta chochoro za Dom to Moro ufike ktk mji huo wa serikaliKwa kupitia Mlimwa nyuma ya ofisi ya Waziri Mkuu hakuna hizo 19km unazozisema ni chini ya 10km
Sawa mkuu ila kumbuka hata Mpamaa kuna government city iko kwenye hatua za mwisho kuanza ujenzihata kama kupita nyuma ya waziri mkuu rough road uzunguke ihumwa kambi ya keshi ndipo uende government city ni zaidi ya km10 sio chini ya km10... yaweza kuwa km 12 hadi 16 kama utachagua kupita 88... na hakuna option maan ukienda juu ni uwanjani baada ya hapo una tafuta chochoro za Dom to Moro ufike ktk mji huo wa serikali
Kama mpamaa ni masaki,area d na kisasa zitakuwa na hadhi gani?Hiyo ni pesa lakini si thamani halisi ya kiwanja......mpamaa ni masaki au msasani ya baadae kwa mujibu wa michoro ya jiji la Dodoma