Kiwanja kinauzwa maeneo ya chalinze ambayo ukubwa wake ni heka nane(8) na lipo barabarani karibu na rami kila plot moja ambayo ni sawa na heka mbili na nusu ni milion miatano mwisho ni mil mia nn na hamsini. Lipo chalinze kalibu na barabara ya morogork road
ππππππππππππ!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, Alisema sana.....watakao fanya kazi ndio watakao shika hela na kuzitumia.
Kuna shamba moja la ekari 1 jimbo la Wisconsin sehemu moja wanaita Plover niliona wanaliuza kwa Milioni 65 tu ya Kitanzania,yaani hilo la Chalinze ni ghali karibu mara 10 ya hilo lililopo USA.