Kiwanja kinauzwa Chalinze

Kiwanja kinauzwa Chalinze

nasy de jr

Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
14
Reaction score
1
Kiwanja kinauzwa maeneo ya chalinze ambayo ukubwa wake ni heka nane(8) na lipo barabarani karibu na rami kila plot moja ambayo ni sawa na heka mbili na nusu ni milion miatano mwisho ni mil mia nn na hamsini. Lipo chalinze kalibu na barabara ya morogork road
 
WTF...#&_-+?@"* Yaani pori la heka 2 Chalinze milion 500 so hizo heka 8 unataka zikupatie Billion 4.... Are you out of x*#$&&+ ??
 
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, Alisema sana.....watakao fanya kazi ndio watakao shika hela na kuzitumia.
 
Kuna shamba moja la ekari 1 jimbo la Wisconsin sehemu moja wanaita Plover niliona wanaliuza kwa Milioni 65 tu ya Kitanzania,yaani hilo la Chalinze ni ghali karibu mara 10 ya hilo lililopo USA.
 
aiise umekosea kuandika labda najua sometimes smartphone zetu hizi,,umesema ml,500,,au ml5???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom