Neema Massawe
Member
- Aug 13, 2014
- 44
- 9
Kiwanja cha 50X25 kilichopo maeneo ya Burega kinauzwa. Kinapakana na ufukwe wa Lake Tanganyika. Kuna Servants Quarter yenye vyumba viwili na varanda. Kina hati. Bei TZS 15 M. Mawasiliano 0772977330

Hahaha mkuu usishangae,kuna maeneo ya Mji mwema na Kilimahewa huko Mpaka 20m kiwanjaDuh,izo bei mbona za viwanja va Dar?
Hahaha mkuu usishangae,kuna maeneo ya Mji mwema na Kilimahewa huko Mpaka 20m kiwanja