Kiwanja kinauzwa kipo gogo la mboto kituo kipya darajani kina urefu wa miguu 25 X 25 , hakijapimwa . kipo karibu kabisa na barabara . umeme maji vipo , bei 1.5milioni
hakuna kitu kilichojificha , bali ni kwamba eneo hili halijapimwa hivyo nyumba za msongamano kama inavyojulikana kwa maeneo yasiyopimwa. ni karibu na daraja la msimbazi . kuna watu wengi wamejenga ni kizuri kwa watu walio na kipato cha wastani , unaweza jenga nyumba na maisha yakaendelea