Kiwanja Kinauzwa Bagamoyo mjini

Kiwanja Kinauzwa Bagamoyo mjini

Ntetema

Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
15
Reaction score
23
Kiwanja 25 kwa 50 kimepimwa kina ofa karibu na shule ya nia njema sekondari, ni kizuri sana kwa kweli. Kinafaa kwa makazi hata biashara. Bei 12 mil, maongezi yapo. Piga 0714 440 141 / 0754 622 121.
 
Aisee napajua kama unelekea sanzale unakata kulia! Eneo zuri sana hilo! Ntakuja nipacheck!
 
Nauzia shida tu. Dalali hatakiwi. Pazuri sana. Pamejengeka haswa hakuna uswahili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom