SOKETI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2010 Posts 206 Reaction score 50 Mar 19, 2015 #1 Habari, Kuna ploti inauzwa tengeru- Arusha, kilometa 10 toka Arisha mjini. Ukubwa hatua 30 kwa 17. bei milioni kumi na nane,(18million) Huduma za maji, umeme, Barabara zinapatikana. Kwa mawasiliano piga namba 0713035942.
Habari, Kuna ploti inauzwa tengeru- Arusha, kilometa 10 toka Arisha mjini. Ukubwa hatua 30 kwa 17. bei milioni kumi na nane,(18million) Huduma za maji, umeme, Barabara zinapatikana. Kwa mawasiliano piga namba 0713035942.
Kakende JF-Expert Member Joined Aug 18, 2012 Posts 2,741 Reaction score 1,233 Mar 19, 2015 #2 Arusha mmezoea kuomba pesa nyingi kwa vidogo, nikiwa da kwa pesa hiyo napata viwanja 4.
Brooklyn JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 1,459 Reaction score 286 Mar 20, 2015 #3 Huo ni uchizi sasa. Yaani hatua 30 kwa 17 kwa sh. milioni 18? What is so special about that plot? Je kina face barabara kuu ya Moshi - Arusha?
Huo ni uchizi sasa. Yaani hatua 30 kwa 17 kwa sh. milioni 18? What is so special about that plot? Je kina face barabara kuu ya Moshi - Arusha?