Kiwanja kinauzwa akina dalali

Kiwanja kinauzwa akina dalali

John Gelas

Senior Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
168
Reaction score
7
Kiwanja kinauzwa kipo kinzud.kikubwa sana bei kuanzia mil 120 ila inapungua kwa atakae itaji..kwa maelezo zaid pigs cm no 0719474102
1518505071563566227084.jpg
 
Fanya marekebisho makubwa sana tena yawe ya kiufundi ili usionekane kama wewe dalali.
 
Kwa huo mwandiko wewe ni dalali tu. Waliokuelewa hata kiwanja kilipo nasubiri waje wafafanue
Kwa nini upende kupigiwa simu badala ya kutoa maelezo ya kutosha mtu ashawishike?
 
location ? alafu mbona kama kipo kwenye mkondo wa maji ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom