Anaye hitaji Kiwanja Maeneo ya Kitunda tuwasiliane. Kiwanja kina Huduma zote Muhimu kama Umeme na Mitaa iliyopangika. 8kms toka Banana Aviation House. Size ya Plot ni 50sqft X 100sqft.
Kwa Mtu Anayehitaji Kiwanja kwa ajili ya Makazi, hiki Kiwanja sio cha kukosa.
Call/Whatsapp: 0715-240140