Nimefika Nzega mara moja tu. Ila nilipaona ni mahali pazuri sana kuishi, na pia kufanya biashara. Ningekuwa na mkwanja wa uliozubaa, ningekichukua faster hicho kiwanja.
Nawakumbuka sana wale jamaa waendesha baiskeli (ganagana)! Sijui bado wapo!! Wale jamaa hata ukifika kwenye mlima huwa hawataki abiria ushuke! Eti wanahisi kama vile wanakudhulumu nauli yako!!