Kiwanja kinahitajika!

Kiwanja kinahitajika!

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
3,047
Reaction score
3,775
Kiwe kinatosha ujenzi wa nyumba ya vyumba vinne na eneo libakie .Huduma za barabara na umeme ni muhimu ziwe karibu.

Bajet: Isizidi 10m

Location:
Goba..mbweni..mbagala(kuu..zakhem au chemchem)..kitunda ya kuingilia banana..mbezi ya kimara etc.

-Kiwe na document muhimu, matapeli na madalali uchwara naomba msisogelee tangazo hili msije mkanilaumu
-Tuma pm nita zi - attend as needed.

Natanguliza shukrani.
 
Nipigie 0715150550 siyo dalali ni changu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom