Kiwe maeneo ya mkundi mwenye nacho weka bei na ukubwa wa kiwanja
Upo juu Sana mkuuMkuu, sogea na town kidogo nikuuzie plot yangu ya kayenzi! maelezo yake yapo hapa chini
Eneo ilipo plot: Kayenzi (karibu kabisa na Kayenzi sekondari) - ukiingilia njia ya viwandani - eneo lipo baada ya kupita viwanda. Ni kilomita takribani 2.5 kutoka eneo la kihonda Magorofani.
Miundombinu: Kiwanja kimepimwa na kipo eneo lililopimwa (surveyed), Umeme umefika eneo la kiwanja, maji ya bomba yameshaingizwa kwenye plot, barabara safi mpaka kwenye kiwanja.
Ukubwa wa kiwanja: Kiwanja kina ukubwa wa mita za eneo 1621 (yaani 1621m2)
Bei: Milioni 16, maongezi yapo.
Wasiliana nami kupitia 0625899030
Mkuu kuna eneo linauzwa hapa mazimbu road.pia kuna nyumba . Square metre 600Daa
Upo juu Sana mkuu
bei ganiMkuu kuna eneo linauzwa hapa mazimbu road.pia kuna nyumba . Square metre 600
10mbei gani
Daa
Upo juu Sana mkuu
Mkuu kuna Kiwanja kipo mkundi mwisho 30*25 bei ni 3.5m...hakina Hati wala ofaKiwe maeneo ya mkundi mwenye nacho weka bei na ukubwa wa kiwanja
Kipo Mkundi CCT forest, 35m*35mKiwe maeneo ya mkundi mwenye nacho weka bei na ukubwa wa kiwanja
Elezea kidogo mkuu kuhusu, eneo kupimwa, survey, ofa, huduma za maji, umeme nk.
Mkundi CCT forest haijapimwa, Wala Hakuna Ofa. Huduma za Maji Na umeme zinatarajiwa kufika hivi Karibuni.Elezea kidogo mkuu kuhusu, eneo kupimwa, survey, ofa, huduma za maji, umeme nk.
Sent using Jamii Forums mobile app