Kiwanja kinahitajika Kinyerezi

Kiwanja kinahitajika Kinyerezi

TO2004

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
540
Reaction score
220
Wakuu habari! Naitaji kiwanja cha makazi maeneo ya kinyerezi dsm budget yangu ni 5-7M.kama unacho njoo tufanye biashara
 
Aisee, labda waweza kupata coz naishi Kinyerezi ila hiyo bei uliyoweka hapo mkuu sijui.

Endelea kusubiri.
 
Kwa bei iyo huwez pata mkuu ongeza kidogo at least 15M
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom