Kiwanja kinahitajika haraka!

Kiwanja kinahitajika haraka!

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
3,047
Reaction score
3,775
Kiwe kinatosha ujenzi wa nyumba ya vyumba vinne na eneo libakie .Huduma za barabara na umeme ni muhimu ziwe karibu.

Bajet: Isizidi 10m

Location:
Goba..mbweni..mbagala(kuu..zakhem au chemchem)..kitunda ya kuingilia banana..mbezi ya kimara etc.

-Kiwe na document muhimu, matapeli na madalali uchwara naomba msisogelee tangazo hili msije mkanilaumu
-Tuma pm nita zi - attend as needed.

Natanguliza shukrani.
 
Tuwasiliane>0656608136>Call,text&Whatsapp kwa pesa hiyo unakatiwa kiwanja kikubwa,,eneo ni Mbezi ya Kimara,huduma mhimu zote zipo,karibu
 
nichek 0763150550 nikuachie nyumba kamili na eneneo kubwa tena gari linafika mlangoni eneo la kivule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom