Kiwanja kinahitajika cha kununua

Kiwanja kinahitajika cha kununua

selham

Member
Joined
Jul 17, 2011
Posts
55
Reaction score
45
Nahitaji kiwanja maeneo ya ununio, bahari beach, mbweni JKT au goba(karibu na barabara)
kiwanja kiwe kinaanzia Sqm 1000
budget ni 40m
kiwanja kiwe kina hati
pm kama unacho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom