kiwanja kiko sokoni

kiwanja kiko sokoni

normal

Member
Joined
Nov 6, 2007
Posts
8
Reaction score
1
Nauza kiwanja,kimepimwa na kina hati miliki,
urefu ni 68kwa68 na upana ni 40kwa33. kiko maeneo
ya tabata kisukulu,ni pembeni ya tabata segerea.bei ni 27m.

kama ukihitaji tuwasiliane 0782261294
 
ur68/68 upana 40/33? hiyo dimension yako inapingana na principle za land survey na mathematics! make nashindwa kung'amua shape ya hilo umbo!
 
Nitakupigia tuongee japo kabei kako juu kimtindo.
 
Ni vyema ku negotiate bei baada ya kukiona kiwanja kwa yule aliye serious ana uhitaji,karibu @ Mutensa
 
ur68/68 upana 40/33? hiyo dimension yako inapingana na principle za land survey na mathematics! make nashindwa kung'amua shape ya hilo umbo!

Hata mie nimeshangaa hizi dimensions. Sijui ametoa hadi height na depth ya kiwanja?
 
kiko kusukulu segerea, karibu na wapi? au ndio kwenye miinuko, maana kilicho tenganisha segerea na kisukulu ni muinuko mkubwa.
 
Nauza kiwanja,kimepimwa na kina hati miliki,
urefu ni 68kwa68 na upana ni 40kwa33. kiko maeneo
ya tabata kisukulu,ni pembeni ya tabata segerea.bei ni 27m.

kama ukihitaji tuwasiliane 0782261294

Hivi vipimo ni futi, mita, hatua, au??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom