Ni hapo hapo mwembe mdogo kuna eneo limepimwa viwanja ...Moja WaPo ya viwanja hivyo kuna hicho kimoja kinauzwa.. Ulitaka nikufahamishe vizuri zaidi ya hapo labda uulize haswa unachotaka kufahamu.
Duh... Sikuifuatilia format sorry... Title should be Kiwanja Kinauzwa... Main topic ndo Kiko eneo la Somangila(kata) Kitongoji cha Dege; kituo maarufu kama mwembe mdogo. Jirani ndo kuna huo mradi wa magorofa ya NSSF.