uzalendo kazi
Member
- Apr 24, 2008
- 26
- 1
Kiwanja kinauzwa sq meter 990. Kiko somangila kigamboni. Bei mil 15 . Kimepimwa na kina hati. Anaehitaji namba ya kunipata ni 0713298900
Mi si mnunuzi ila ungewafafanulia Somangila ni wapi na Dege ni wapi.Kiwanja kinauzwa sq meter 990. Kiko somangila kigamboni. Bei mil 15 . Kimepimwa na kina hati. Anaehitaji namba ya kunipata ni 0713298900
Mkuu unachanganya ujue lakini, manakeBaada ya mradi wa NSSF ukitokea mji mwema kuna eneo wanaita mwembe mdogo...
Ni hapo hapo mwembe mdogo kuna eneo limepimwa viwanja ...Moja WaPo ya viwanja hivyo kuna hicho kimoja kinauzwa.. Ulitaka nikufahamishe vizuri zaidi ya hapo labda uulize haswa unachotaka kufahamu.
Hiyo bei yako nayo hela ila hapana... Kuwa serious!!!
Duh... Sikuifuatilia format sorry... Title should be Kiwanja Kinauzwa... Main topic ndo Kiko eneo la Somangila(kata) Kitongoji cha Dege; kituo maarufu kama mwembe mdogo. Jirani ndo kuna huo mradi wa magorofa ya NSSF.Mkuu unachanganya ujue lakini, manake
Title/Heading > Kiwanja kiko Dege,
Main Topic > Kiwanja kiko Somangila
Comments > kiwanja kiko Mwembe Mdogo
Ongeza kidogo walau 13 njoo kwa simu nikupe taratibu..
Ni pm namba yako tuwasiliane Kuhusu viwanja kigamboni.....Mkuu vp kiwanja bado Kipo?