Kiwanja Kibaha kinauzwa Ekari 1

Kiwanja Kibaha kinauzwa Ekari 1

bongobongo

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
82
Reaction score
30
Kiwanja kipo km 1 toka barabara ya Morogoro ni eka1.

Kuna banda la kuku na pia kibanda cha mlinzi.

Piga 0784674578 kwa maelezo zaidi
 
Unauza bila bei,au napanga mwenyewe,kuweka namba sio sababu ya kutokuweka bei
 
jipigie simu mwenyewe na hilo namba lako...wizi tu..hata kiwanja huna ww...ungekuwa nacho ungekuwa na maelezo
 
jipigie simu mwenyewe na hilo namba lako...wizi tu..hata kiwanja huna ww...ungekuwa nacho ungekuwa na maelezo
Unapojifanya unajua kumbe hujui...Mawasiliani yapo,Mhitaji wa kweli angepiga Simu badala ya kulalama.*******SPEAKING FROM EXPERIENCE.*************
 
Unapojifanya unajua kumbe hujui...Mawasiliani yapo,Mhitaji wa kweli angepiga Simu badala ya kulalama.*******SPEAKING FROM EXPERIENCE.*************

Ajabu!!!! Wenye uhitaji washampigia saa nyingi.
 
jipigie simu mwenyewe na hilo namba lako...wizi tu..hata kiwanja huna ww...ungekuwa nacho ungekuwa na maelezo

duuh mkuu punguza ghadhabu wee si wiseboy jitendee haki
 
Taja bei n.a. kiko wapi kutoka barabarani toa maelezo ili tujue
 
Duh watz watu wa ajabu sana. Kama unakihitaji simu ipo hapo piga. Muda wa kuingia kwenye mtandao ni finyu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom