M mancon Senior Member Joined Dec 28, 2010 Posts 113 Reaction score 62 Oct 26, 2011 #1 Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 690, block 15, kibada kigamboni, kina title, kinauzwa TAS. 18mil, mtu wa kati hatakiwi
Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 690, block 15, kibada kigamboni, kina title, kinauzwa TAS. 18mil, mtu wa kati hatakiwi
M mancon Senior Member Joined Dec 28, 2010 Posts 113 Reaction score 62 Oct 26, 2011 Thread starter #2 Kiwanja kina ukubwa wa sqm 690, block 15 kibada kigamboni kinauzwa, mwenyewe ana matatizo, tshs. 19mil, dalali hatakiwi, email kigamboni@hotmail.com
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 690, block 15 kibada kigamboni kinauzwa, mwenyewe ana matatizo, tshs. 19mil, dalali hatakiwi, email kigamboni@hotmail.com
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,926 Reaction score 1,160 Oct 26, 2011 #3 conman said: Kiwanja kina ukubwa wa sqm 690, block 15 kibada kigamboni kinauzwa, mwenyewe ana matatizo, tshs. 19mil, dalali hatakiwi, email kigamboni@hotmail.com Click to expand... Mbona Unapandisha Tena Bei Au Upo Ktk Mnada.
conman said: Kiwanja kina ukubwa wa sqm 690, block 15 kibada kigamboni kinauzwa, mwenyewe ana matatizo, tshs. 19mil, dalali hatakiwi, email kigamboni@hotmail.com Click to expand... Mbona Unapandisha Tena Bei Au Upo Ktk Mnada.
Somoche Platinum Member Joined Oct 6, 2010 Posts 7,040 Reaction score 9,660 Oct 26, 2011 #4 Huyu mwenyewe anaitwa Conman so watch out...buyer be aware..
B babojga Member Joined Oct 24, 2011 Posts 48 Reaction score 4 Oct 26, 2011 #5 Kiwanja kina ukubwa wa sqm 690, block 15 kibada kigamboni kinauzwa, mwenyewe ana matatizo, tshs. 5mil, dalali hatakiwi.
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 690, block 15 kibada kigamboni kinauzwa, mwenyewe ana matatizo, tshs. 5mil, dalali hatakiwi.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,821 Reaction score 13,780 Oct 26, 2011 #6 conman said: Kiwanja kina ukubwa wa sqm 690, block 15 kibada kigamboni kinauzwa, mwenyewe ana matatizo, tshs. 19mil, dalali hatakiwi, email kigamboni@hotmail.com Click to expand... Mbona unachanganya mambo?18m mara 19 mara ooh.....
conman said: Kiwanja kina ukubwa wa sqm 690, block 15 kibada kigamboni kinauzwa, mwenyewe ana matatizo, tshs. 19mil, dalali hatakiwi, email kigamboni@hotmail.com Click to expand... Mbona unachanganya mambo?18m mara 19 mara ooh.....
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,154 Oct 26, 2011 #7 Ulimakafu said: Mbona unachanganya mambo?18m mara 19 mara ooh..... Click to expand... Akija tena utaskia 20mil, Nafkiri huu ni mnada. Anakataa mtu wa kati kwa kua ye tayari ni mtu wa kati, so hapendi watu wa kati wawe wengi
Ulimakafu said: Mbona unachanganya mambo?18m mara 19 mara ooh..... Click to expand... Akija tena utaskia 20mil, Nafkiri huu ni mnada. Anakataa mtu wa kati kwa kua ye tayari ni mtu wa kati, so hapendi watu wa kati wawe wengi