proudly mrs sam
Member
- Aug 9, 2017
- 97
- 85
Ukubwa wa 500sqm kina leseni ya makazi kutoka wizara ya ardhi maelezo zaidi nifate pm
Tshs 1,500,000 / Sqm 500Ukubwa wa 500sqm kina leseni ya makazi kutoka wizara ya ardhi maelezo zaidi nifate pmView attachment 613879
Typing error nilimaanisha sqm 500Kwa hiyo hapo ni kama Urefu Mita 15 x Upana Mita 10,
Tshs 1,500,000 / Sqm 150
=Tshs 10,000/1Sqm
Kipo bondeni na nichangu mwenyewekeko mjini kabisa kiwanja kinauzwa 1.5m.. hapo kama sio mferejini.. maana hata bondeni hapauzwi bei ndogo hivyo.. basi ni eneo la wazi.. mtu anapigwa pm
Ila bei ni hiyo hiyo iko sahihi 1.5mil??Typing error nilimaanisha sqm 500
Ndio 1,500,000tsh nimeolewa na ninahama nchi so inabidi niuze tu hata kwa hasaraIla bei ni hiyo hiyo iko sahihi 1.5mil??
Hongera,Ndio 1,500,000tsh nimeolewa na ninahama nchi so inabidi niuze tu hata kwa hasara
Gari haifiki mpaka kiwanjani kwa sababu ni bondeni kidogo huduma zote umeme na maji zipo. Picha za majirani sina kwa sasa ila kuna nyumba nzuri tu hapo zimejengwaHongera,
Gari inafika mpaka kwenye Kiwanja??
Waweza kuweka picha ya Majirani zako na Kiwanja kilivyo??
Mh! Haiingii akilini. Uuze kwa hasara kisa umeolewa! Kwann usikiuze taratibu kwa thamani yake halisi? Hata ndugu huna wakusimamia hilo wakati wewe upo nje ili akiuza ukutumie pesa? Hapa kuna harufu ya kulizwa mtu.Ndio 1,500,000tsh nimeolewa na ninahama nchi so inabidi niuze tu hata kwa hasara
Hayo ni mawazo yako & you are free to think whatever you wantMh! Haiingii akilini. Uuze kwa hasara kisa umeolewa! Kwann usikiuze taratibu kwa thamani yake halisi? Hata ndugu huna wakusimamia hilo wakati wewe upo nje ili akiuza ukutumie pesa? Hapa kuna harufu ya kulizwa mtu.
Kiukweli imenitia shaka. Sorry kama umekwazika kwenye hilo.Hayo ni mawazo yako & you are free to think whatever you want