hilo eneo liko wapi aisee kwa hapa dsm,Bei ni 5m , kina hati unaweza jenga vyumba kumi
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hilo eneo liko wapi aisee kwa hapa dsm,
Keko(MSD) ya Dar es Salaam au kuna nyingine?
5mil???:shocked:...hebu taja kwanza ukubwa wa eneo
Bei ni 5m , kina hati unaweza jenga vyumba kumi
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kaka kumbe tunapenda bei zinaporushwa juu, maana sku hizi hata apartments za Dar ni ghali kuliko za Dubai?!!!! Kama unafahamu taratibu zote za kufuata ili kukwepa kutapeliwa sioni haja ya kuogopa kwa msingi wa bei mkuu! Mi nimeona bei ni nzuri mkuu, pamoja na kwamba hajatoa details za kutosha za kiwanja, labda kama ni kikubwa na kiko pazuri mno!
Hahahah kaka mkubwa siku nyingine uwe makini sana...utakuja kuuziwa 'Open Space' au mali ya urithi.
Keko ni moja ya maeneo ya Dar es Salaam ya zamani, sasa kwa bei hiyo lazima kuwe na doubts