BeiKiwanja kinauzwa Jiji la Dodoma , kipo eneo la swasa mnarani , Kiwanja kina ukubwa Wa eneo SQM 1200. Kipo pembeni ya njia ya barabara ya kutoka kwa waziri mkuu kuelekea martin Luther . kina nyaraka zote za serikali zilizo halali.
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo eneo bado lipo???ENEO LILILOPIMWA LINAUZWA ILAZO EXTENSION.
Size: 560 SQM,
Lipo pazuri saana. Kwa mawasiliano zaidi 06782276767.. karibu ujipatie fursa
maelezo yako hayajitoshelezi, umeshindwa hata kuweka na picha au unadhani kusema tu lipo pazuri sana ndo inajitosheleza!!Sawa mkuu, bei ni 20M
Sawa boss ingawaje picha kwa upande wa ardhi unaweza kudanganywa, majengo, vitu nk picha ni sahihi.maelezo yako hayajitoshelezi, umeshindwa hata kuweka na picha au unadhani kusema tu lipo pazuri sana ndo inajitosheleza!!