Habari wadau... Ninauza kiwanja chenye nyumba ya vyumba vinne na sebule,
kiwanja kipo karibu kabisa na stand mpya ya nyashishi mwanza ( mita 150 kutoka barabara kuu).
Nawakaribisha wateja wote
watu binafsi.
makampuni ya simu ulinzi nk.
Bei 25 million..
Asanteni
Asante mkuu kwa kunipa moyo.Ngoja Kwanza ' tufidiwe ' vyetu vilivyopo barabarani kisha tutakuja kukinunua tu hicho chako Mkuu. Kitunze usikiuze!
nyashishi ndo wapi MkuuHabari wadau... Ninauza kiwanja chenye nyumba ya vyumba vinne na sebule,
kiwanja kipo karibu kabisa na stand mpya ya nyashishi mwanza ( mita 150 kutoka barabara kuu).
Nawakaribisha wateja wote
watu binafsi.
makampuni ya simu ulinzi nk.
Bei 25 million..
Asanteni
Mkuu hakuna wachawi wala wangaHakuna wachawi uko ?
Nyashishi IPO mwanza mkuu. Ni sehemu ambayo imeteuliwa kuwa stand Mpya ya daladala.nyashishi ndo wapi Mkuu
Najaribu mkuu nashindwa kuzi apload ngoja nipate computerTuwekee na picha mkuu,
Ziweke mkuu, Je kiwanja kimepimwa na kina hatiNajaribu mkuu nashindwa kuzi apload ngoja nipate computer
Mkuu naomba km itakupendeza nizirushe whatsap simu yangu inakataa kuziattach hapa,Ziweke mkuu, Je kiwanja kimepimwa na kina hati
Hawawezi mkuu. Nina hakika, hata ikiwa wanapanua eneo LA stand.Una uhakika bomoa bomoa haitafika hapo?