Picha ninayo wakuu ila bado mtandao unasumbua kui attach. Pia umeme upo.
Mbona mie picha siioni?
Kina hati au leseni ya makazi?Wakuu nauza kiwanja chenye nyumba ndogo yenye vyumba viwili na sebule cha ukubwa wa robo eka Chanika karibu na kituo cha daladala cha Chanika. Eneo ni zuri sana watu wamejenga majumba mazuri ya kifahari. Ninauza kwa sababu ya matatizo tu ya dharura yaliyonitokea. Bei yake ni sh. milioni 25 majadiliano yapo kwa yeyote atakayehitaji tuwasiliane kwenye namba hizi. 0712 994383 au 0652 506049 au 0715 597591. Picha nitawatumia baadae kidogo.
Kina hati au leseni ya makazi?
Imepunguzwa hadi Tsh ngapi?