A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Apr 1, 2015 #1 Kipo wilaya ya Ilala Dar es salaam. ni 1km toka barabara kuu. kipo Pugu eneo linaitwa mbuyuni, hati ipo na bei kinauzwa 16m . ni tambalale kimenyooka. kwa mahitaji ya kiwanja hiki au vingine vingi kigamboni na mbuyuni tuwasiliane 0657145555
Kipo wilaya ya Ilala Dar es salaam. ni 1km toka barabara kuu. kipo Pugu eneo linaitwa mbuyuni, hati ipo na bei kinauzwa 16m . ni tambalale kimenyooka. kwa mahitaji ya kiwanja hiki au vingine vingi kigamboni na mbuyuni tuwasiliane 0657145555
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,503 Reaction score 13,707 Apr 1, 2015 #2 Ukubwa????
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,808 Reaction score 110,049 Apr 1, 2015 #3 steveachi said: Ukubwa???? Click to expand... Hujaona kaandika sqm 930
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,574 Apr 1, 2015 #5 nilifikiri Bunju
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,018 Apr 1, 2015 #6 Watu8 said: Hujaona kaandika sqm 930 Click to expand... Kaka.. Square meter haikupi ukubwa halisi inaweza ikawa 1x930 au 10x93 au 100x9.3 (meters) au vyovyote..... Asije akawa anauza barabara
Watu8 said: Hujaona kaandika sqm 930 Click to expand... Kaka.. Square meter haikupi ukubwa halisi inaweza ikawa 1x930 au 10x93 au 100x9.3 (meters) au vyovyote..... Asije akawa anauza barabara
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,808 Reaction score 110,049 Apr 1, 2015 #7 Ngalikihinja said: Kaka.. Square meter haikupi ukubwa halisi inaweza ikawa 1x930 au 10x93 au 100x9.3 (meters) au vyovyote..... Asije akawa anauza barabara Click to expand... Kwa uelewa wangu mdogo wa hisabati neno ukubwa kwa habari ya eneo humaanisha zao la urefu na upana... Muuliza swali angeliulizia vipimo vya urefu na upana angelikuwa sahihi zaidi...
Ngalikihinja said: Kaka.. Square meter haikupi ukubwa halisi inaweza ikawa 1x930 au 10x93 au 100x9.3 (meters) au vyovyote..... Asije akawa anauza barabara Click to expand... Kwa uelewa wangu mdogo wa hisabati neno ukubwa kwa habari ya eneo humaanisha zao la urefu na upana... Muuliza swali angeliulizia vipimo vya urefu na upana angelikuwa sahihi zaidi...
N ndidudila Member Joined Feb 9, 2015 Posts 91 Reaction score 41 Apr 1, 2015 #8 steveachi said: Ukubwa???? Click to expand... Muuliza swali upo sahihi, ila lugha uliyotumia haileti tafsiri ya moja kwa moja kama unavyotaka
steveachi said: Ukubwa???? Click to expand... Muuliza swali upo sahihi, ila lugha uliyotumia haileti tafsiri ya moja kwa moja kama unavyotaka