Milioni 6 ipo cashUkubwa: square meter 1500 (30m x 50m)
Kimepimwa na kina hati ni mali yangu hakuna udalali
Mahali: Kigamboni Cheka karibu na apartments za Sophia simba, ni 29km kutoka Feri
Bei ni Tsh 18,000,0000
10m itapendeza sanaWewe kidogo tunaweza kuongea biashara, ongeza iwe 14M nikupe