Kiwanja cha Sq. mita 1200 Chanika Buyuni

Kiwanja cha Sq. mita 1200 Chanika Buyuni

mslopagaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
367
Reaction score
36
Kiwanja kimepimwa kina hatimiliki, kina nyumba imejengwa imeishia kwenye lenta (1master&2single,sitting room dinning, public toilet) kiwanja kipo mita 600 kutoka barabara ya lami na kipo kwenye mtaa.

Contact; 0656 698232
 
ukiweka picha itavutia zaidi na utakuwa unanadi kitaalam sana
c43fc447b4ac66355f67f639e02b1ceb.jpg
cbe51fd9293413396fc9cc04b6be04a3.jpg
 
Miguu 20 X 20 Chanika Mjini(Vodete)
Karibu na Barabara.
1.7Km toka Pale Chanika Stand
0.6km toka Barabara ya Lami.

Bei: 5.5M

Umeme Maji Papo hapo.

Pamejengeka Sana.

0715-240140
 
Vipimo kwa miguu, hivi SI UNIT yake ni value ipi!?
 
Kiwanja kimepmwa kina hatimilik,kina nyumba imejengwa imeishia kweny lenta(1master&2single,sitting room dinning, public toilet)kiwanja kipo mita 600 kutoka barabara ya lami na kipo kweny mtaa
Contact; 0656 698232
Umeshauza ndugu ..??
 
Uko juu sn kaka hari imekaba saivi si unajua..? unachkua nusu yake ..? nipm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom