mangi waukweli
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 246
- 27
Biashara ya kibongo kweli hovyo. Mara kiwanja cha serikali mara kina hati. Muhimu ungeweka details zinazoeleweka kama Bei ukubwa na vitu muhimu kama hivyo. Kwa uzembe huu ukikosa wanunuzi unakimbilia kwa kamgambile!
kiwanja kina HATI, ukubwa LOW DENSITY.bei MILI 6.5
Nauza kiwanja kilichopimwaa na serikali kina hati miliki kabisa kipo pugu kinyamwezi walipoamishiwa watu wa kipawa i need that money urgently nauza kwa shi milion 6.5 ni pm nipo serious mwenye kutaka kwa wale wafanyabiashara ni kizuri unaweza kuombea mkopo maaana kina hati kamili ya wizara ya ardhi
Hatuendi hivyo mkuu,
Una shida ya haraka ndio, but isikufanye uache details muhimu.
Low density ndio ukubwa gani??
Weka specific measurements kama urefu &upana,
Pia miundombinu, neighborhood, umbali from pugu road, n.k
Thanks boss,Mkuu Pugu Kinyamwezi ni mbali kidogo hata miundo mbinu yake bado iko chini kama sijakosea lakini kwa bei hiyo low density ukiongea nae mambo yanaweza kuwa siyo mabaya.
Thanks boss,
Ngoja nimpe 5.3Mil
mkuu usimshushe sana,hiyi bei alotaja ni sawa na bure kabisa.kumbuka low density ni eka moja iliyojaa
Ntakupa 5m sema nilete?
mkuu usimshushe sana,hiyi bei alotaja ni sawa na bure kabisa.kumbuka low density ni eka moja iliyojaa