W Waambi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 737 Reaction score 81 Mar 9, 2014 #1 Masikini tuna shida. Nina Sh mil.1 wapi ntapata kiwanja hapa Dar nijenge nyumba japo ya vyumba vinne. Natumia fedha nyingi kwenye nyumba ya kupanga.
Masikini tuna shida. Nina Sh mil.1 wapi ntapata kiwanja hapa Dar nijenge nyumba japo ya vyumba vinne. Natumia fedha nyingi kwenye nyumba ya kupanga.
NEXTLEVEL JF-Expert Member Joined Jan 19, 2012 Posts 857 Reaction score 396 Mar 14, 2014 #2 Kama itafika angalau mil.2 kipo 20x20 Madale kwa Kawawa.
Gazillionaire JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 235 Reaction score 59 Mar 14, 2014 #3 Waambi said: Masikini tuna shida. Nina Sh mil.1 wapi ntapata kiwanja hapa Dar nijenge nyumba japo ya vyumba vinne. Natumia fedha nyingi kwenye nyumba ya kupanga. Click to expand... Njoo uchukue heka moja Kigamboni Mwasonga, ardhi nzuri Kwa matikiti, viazi vitamu, bamia na maji yako karibu. Pia Ukichukua utaweza kufanya ufugaji ili kupunguza ukali wa maisha.
Waambi said: Masikini tuna shida. Nina Sh mil.1 wapi ntapata kiwanja hapa Dar nijenge nyumba japo ya vyumba vinne. Natumia fedha nyingi kwenye nyumba ya kupanga. Click to expand... Njoo uchukue heka moja Kigamboni Mwasonga, ardhi nzuri Kwa matikiti, viazi vitamu, bamia na maji yako karibu. Pia Ukichukua utaweza kufanya ufugaji ili kupunguza ukali wa maisha.
sajosojo JF-Expert Member Joined Apr 14, 2010 Posts 1,028 Reaction score 650 Mar 14, 2014 #4 ni pm kuna kiwanja kinauzwa mill 1.5 huku mbagala