Kiwanja cha kununua kinatakiwa

tan-1

Senior Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
100
Reaction score
81
Wakuu, kwanza poleni na majukumu ya hapa na pale, lakini ni suala la kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kuendelea kuwa nasi katika kazi za hapa na pale.

Naomba kusema yaliyonileta kwa jamvi siku ya leo. Kama heading inavyojieleza kwa uwazi wake, kiwanja kinatakiwa maeneo ya Kibaha, kuanzia Maili Moja mpaka Mlandizi.

Kama kuna mwenye nacho au ndugu yake maeneo ya Kinondoni, Tegeta, Bunju mpaka Bagamoyo nako nakupenda pia.

1. Kiwanja kiwe kimepimwa.
2. Kisiwe na mgogoro wa familia na jamii inayozunguka
3. Kiwe karibu na barabara kuu.
4. Kisiwe katikati ya nyumba kiasi cha kukosa kupata njia ya kupitisha gar nk.
5. Ukubwa kuanzia 20×20 na kuendelea, offer yangu mwisho millioni 5.

Natanguliza zangu shukrani. Mwenye nacho au ndugu anaweza kuni PM.
 
Vp ushapata teyari?
 
kuna kiwanja kipo maili moja kama upo tayari mawasiliano 0719526815
 
Nipigie 0692939704
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujapata ninacho maeneo ya Toangoma kipo sehemu nzuri barabara ipo pembeni ya kiwanja gari unalaza kwako bila wasi ukubwa ni 29.3*13m bei ni 5m ni heck 0674839141
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…