Kiwanja chenye hati
miliki/Tittle deed) Maeneo ya Dar Es Salaam/Bagamoyo kinahitajika..
Mwenye nacho au mwenye habari za kuaminika ani-PM, akiwa na data za
ukubwa, eneo kilipo na Bei yake ni muhimu kuijua.. Ahsanteni!
Salama mkuu kiwanja kipo Kisukuru Dar. Kimepimwa na hati ipo. Ukubwa wake ni square metre 1516 nakipo metre 20 kutoka barabarani . Bei ni millioni 25 na mazungumuzo yapo . Hakina dalali . Kwa taarifa zaidi ni cheki 0653 967510Kiwanja cha kujenga chenye HATI kinahitajika maeneo ya Dar Es Salaam Au Bagamoyo.. Mwenye Kiwanja au mwenye kuwa na habari za uhahika..ANI - Tumie meseji (PM) akiwa na data za ukubwa wa kiwanja/mahali kilipo na bei yake ni muhimu sana kutajwa.. Ahsanteni!