Kiwanja hiki kipo wilaya ya Temeke Dar es salaam. katika mji wa mwasonga uliopo kisarawe 2 unaingilia njia panda ya Dar es salaam zoo. ni km 35 kutoka feri ya kigamboni. kiwanja hakina hati ila survey imefanyika na inaonesha kipo katika eneo la makazi ya watu. kinauzwa Tsh 7,000,000 milioni saba
kwa anayetaka tuwasiliane 0657 145555 au 0754 278 278
unataka kuwauzia wepemba nn? toa umbali kutoka kisalawe bwana.
Acha utani mkuu ! kwani wapemba.... ni kama 3km kutoka kisarawe mjiniunataka kuwauzia wepemba nn? toa umbali kutoka kisalawe bwana.
sitaki35km from feri hilo ni shamba, sio Kiwanja.
Tuongee biashara ya shamba, chukua 1.6mil @ Heka
japo 2.2 @ heka siyo mbaya hivyo inakuwa 5.5Ha ha ha!!
We unataka ngapi sasa??
Mihogo inakubali?vp wanyama waaribifu kama nguruwe pori na kima ikiwa ntalima mihogo?sitaki
hakuna wanyama poli kule ladba we ndiyo uwaleteMihogo inakubali?vp wanyama waaribifu kama nguruwe pori na kima ikiwa ntalima mihogo?
mchanganyikoHuko ni makazi au mashamba?