Kiwanja bei rahisi

trustful

Senior Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
173
Reaction score
144
Nauza kiwanja changu futi 60*62 kilichopo Vikindu vianzi kwa mil 2.5 tu. Pia ukinunua kiwanja nitakupa na matofali 400 bure yaliyopo hapohapo kiwanjani. Piga 0625667292.
 
Nauza kiwanja changu futi 60*62 kilichopo Vikindu vianzi kwa mil 2.5 tu. Pia ukinunua kiwanja nitakupa na matofali 400 bure yaliyopo hapohapo kiwanjani. Piga 0625667292.
Futi 60*62 ni sawa na mita 18*19?
 
kwani mita moja ni sawa na futi ngapi? Kumbukumbu zangu zinaonyesha 1m=3.3ft
Thus 60ft=60/3.3m; =18.1m and 62/3.3; =18.9m
Ni kitu hichohicho mkuu tuko pamoja isipokuwa wewe umezigawanya hizo futi kwa 3 na kuongezea point(decimals).
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…