pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
Vyote viwanja na mashambaMwanza kuna viwanja au mashamba
Maji umeme vipo umeshafika ngoja nikutumie pichaIlalila ni umbali Gani toka Ilemela?
Miundombinu ya Maji na Umeme IPO Karibu kiasi gani?
Eneo la jeshi ni nyegeziHivi huko si sehemu kubwa ni eneo la Jeshi!!!!
Hata hapo Ilalila ukishatoka Kahama kuelekea Ilalila kuna eneo la Jeshi kubwa sana!!Eneo la jeshi ni nyegezi
Sawa ila maeneo ya jeshi yanajulikana na taratibu na Sheria zetu huwa haturuhusiwi ata kukatiza maeneo ya jeshi nadhan ilo unajilijua vema pili hili eneo linauzwa kwa utaratibu maaalum kufuata Sheria na taratibu na na kutakuwa na mwanasheria kutoka mahakama kuu na kamati tendaji ya kijiji ili ujiridhisheHata hapo Ilalila ukishatoka Kahama kuelekea Ilalila kuna eneo la Jeshi kubwa sana!!
Upimaji shirikishi umeanza unalipia laki na nusu mwisho tar 30 mwenz huu upimaji unaanza soon July karibuKumepimwa dada petty?