Kiwanja barabarani bei ya kutupa

xfactor

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,511
Reaction score
1,290
Habari wakuu

Nauza kiwanja changu kilicho pimwa,kwasasa nafuatilia hati ila offer ipo tayari.Bei yake ni sawa na bure kulingana na eneo kilipo na ukubwa wake

Kilipo: Kiwanja kipo barabarani kabisa,kigamboni Mwasonga, barabara ya kwenda Pemba mnazi kupitia Dar es salaam zoo

Mazingira: kiwanja kipo karibu na mradi mkubwa wa maji wa mji wa kigamboni

Ukubwa: square meter 1500

Bei: 20M pungufu inaruhusiwa

Kwa maelewano ni pm
 
Sqm 1500 ni 30 kwa 50? Weka wazi kiwanja kipo exactly wapi? Kipo Mwasonga,Dar Zoo ,Buyuni au Pemba Mnazi?
 
Sqm 1500 ni 30 kwa 50? Weka wazi kiwanja kipo exactly wapi? Kipo Mwasonga,Dar Zoo ,Buyuni au Pemba Mnazi?

Mkuu wangu mbona maelezo yapo wazi.Kipo Mwasonga.

Hayo maelezo mengine ni ya hiyo barabara ambapo kiwanja kipo,barabara inayo pitia dar es sala zoo kwenda Pemba mnazi.

30X50=1500 ni makadirio mkuu ili mtu apate japo picha ya ukubwa wa kiwanja
 
Uko juu kaka,

Kuna jamaa yangu anauza 2,300 Sqm kwa hiyo 15Mil, kabla ya Mwasonga but unapita DSM zoo!!
 
Uko juu kaka,

Kuna jamaa yangu anauza 2,300 Sqm kwa hiyo 15Mil, kabla ya Mwasonga but unapita DSM zoo!!

Kipo barabarani na kimepimwa mkuu?
 
Yeah,
Kiwanja cha pili kutoka barabarani, kimepimwa ndio!

Kumbe ni cha pili kutoka barabarani.Changu kipo barabarani kabisa mkuu.

Halafu pia hiyo bei kama nilivyo Sema hapo juu kuwa inapungua sio kama ni fixed
 
Yeah,
Kiwanja cha pili kutoka barabarani, kimepimwa ndio!

By the way embu nitumie PM namba ya huyo jamaa yako,naweza kufanya naye biashara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…